383. Ulimwengu Hayani

1. Ulimwengu hayani,

   tumsifu Mungu wetu.

   Alimtoa Mwanawe,

   Yesu Kristo Mkombozi!

   Haya, twendeni kwa Yesu!


2. Kwani sisi hatuna 

   hata mtu msemi, 

   awezaye kufanya haki 

   mbele ya Mungu:

   Haya twendeni kwa Yesu!


3. Yesu ni kiongozi

   wa ulimwengu wote, 

   ajuaye njia tu,

   iendayo kwa Mungu:

   Haya, twendeni kwa Yesu.