342. Ndugu Yangu Nani?

1. Ndugu yangu nani?

   Umbu ni yupi? 

   Ni kila wa Yesu, 

   ni ndugu yangu.


2. Kikundi kidogo 

   chamjua Mchunga,

   kimshuhudiacho 

   Mwokozi wetu.


3. Ni wana wa Mungu 

   wanaobezwa,

   ndio washindaji 

   wangoja taji.


4. Ndio ndugu zangu, 

   maumbu yangu.

   Nawaita hivi,

   ni ndugu zangu.


Popular posts from this blog

420. Ni Salama Mikononi Mwake

398. Hapana Rafiki Kama Yesu

406. Mfurahini, Haleluya