355. Nikishika Njia Naona Mbali
1. Nikishika njia
naona mbali mji ule kule
nitapafika.
Nisafiri sisahau ee
(safari, njoo fuate ee)
Usikie sauti yake ee
(Sikia sauti yake)
njoo sasa (ndugu)
2. Njia yetu njema
katika Yesu twaona kwa mbali
mwanga wa mji.
Nisafiri …
3. Ingawa tufani
itusumbue twasogea pole
kuuendea.
Nisafiri …
4. Najua safari
sijui nyuma rangi za mji ule
zinanivuta.
Nisafiri …