1. Hapana rafiki kama Yesu, Yu pekee, Yu pekee; Hapana mpozi kama Yesu Yu pekee, Yu pekee. Yesu ajua shida zetu, Aweza kutuongoza; Hapana rafiki kama Yesu, Yu pekee Yu pekee. 2. Yeye anaye sifa, ni Yesu Yu pekee, Yu pekee; Ndiye aliye Mnyenyekevu Yu pekee, Yu pekee; Yesu ajua...... 3. Yesu pamoja nasi daima, Yu pekee, Yu pekee; Kwa usiku aleta salama, Yu pekee, Yu pekee; Yesu ajua...... 4. Kulinda Yesu Yu Mwaminifu, Yu pekee, Yu pekee; Atawakubali wahalifu, Yu pekee, Yu pekee; Yesu ajua...... 5. Alipel...