369. Mungu, Niumbie Imani
1. Mungu, niumbie imani,
ipate kuzidi moyoni.
Imani (Imani, izidi moyoni).
Nipate kuona raha ya mbinguni.
(Nipate kuona
raha ya mbinguni)
/: Nipate ona yote
ya utajiri wako tu
uzidishe imani.:/
2. Mungu, nijalie imani,
nipate shika Neno lako.
Imani (Imani, izidi) …
3. Imani huondoa shaka,
na matumaini huzidi.
Imani (Imani, izidi) …