386. Aitwa na Simanzi

1.  Aitwa wa simanzi

    Mwana wa mwenye enzi, 

    Mwenye mengi mapenzi, 

    Haleluya Bwana Yesu.


2.  Alikuwa dhikini,

    Bwana Mwokozi wangu 

    Akatoka mbinguni, 

    Haleluya Bwana Yesu.


3. Tu wenye dhambi sana,

   Kwake dhambi hakuna,

   Na Mungu twapatana

   Haleluya Bwana Yesu 


4. Akapata uchungu 

   Akalia dhikini

   Sasa yuko mbinguni

   Haleluya Bwana Yesu 


5. Punde atarejea 

   Yesu kutunyakua 

   Ndipo  tutamwimbia 

   Haleluya Bwana Yesu

Popular posts from this blog

420. Ni Salama Mikononi Mwake

398. Hapana Rafiki Kama Yesu

406. Mfurahini, Haleluya