388. Asante Sana Yesu
1. /:Asante sana Yesu,
asante sana Yesu.
Asante sana Yesu moyoni:/
2. /:Dhambi zatakasika,
Dhambi zatakasika.
Dhambi zatakasika moyoni:/
3. /:Siishi bila Yesu
Siishi bila Yesu
Siishi bila Yesu moyoni:/
4. /:Magonjwa yanapona
Magonjwa yanapona
Magonjwa yanapona moyoni:/
5. /:Amani tunapata
Amani tunapata
Amani tunapata moyoni:/