397. Haleluya Tumwimbieni
1. K: Haleluya tumwimbieni
W: Bwana, Haleluya
tumwimbieni Bwana
K: Mtukuze
W: -kuze Mungu,
K: Mshukuru
W: -kuru ndiye
K: Mwokozi.
W: -kozi wetu.
2. K: Katika Neno twaambiwa
W: Kweli. Katika Neno
twaambiwa kweli
K: Mtukuze ....
3. K: Hakika, pendo lake Mungu
W: Kubwa. Hakika, pendo
lake Mungu kubwa.
K: Mtukuze ....
4. K: Mwokozi Yesu katujia
W: Sisi. Mwokozi Yesu
katujia sisi.
K: Mtukuze ...
5. K: Wokovu alituletea
W: Wote. Wokovu
alituletea wote.
K: Mtukuze ...
6. K: Uzima twapata rohoni.
W: Mwetu. Uzima twapata
rohoni mwetu.
K: Mtukuze ...
7. K: Twapewa yote kwa neema.
W: Yake. Twapewa yote
kwa neema yake.
K: Mtukuze ...
8. K: Milele tumshuhudie.
W: Kristo. Milele
tumshuhudie Kristo.
K: Mtukuze ...