404. Kituo changu hapa katika Yesu.
1. Kituo changu hapa katika Yesu.
Sipiti, sipiti, hapa napumzika.
Ee Yesu Bwanangu.
Sitapita (mwenzangu)
ee sitapita (mwenzangu)
ee japo nikiwa shidani
(sipiti, mwenzangu).
Napumzika hapa kwa Yesu.
2. Mizigo yangu hapa katika Yesu,
msalaba, msalaba,
kivuli changu chema.
Ee Yesu...
3. Amani yangu hapa katika Yesu.
amani, amani, ya roho nimepata.
Ee Yesu...