415. Nasikia Kuitwa
1. Nasikia kuitwa na sauti yako
Nikasafiwe kwa damu
Ya kwangikwa kwako.
Nimesongea Mtini pako,
unisafi kwa damu
ya kwangikwa kwako.
2. Ni mnyonge kweli,
umenipa nguvu,
ulivyonisafi taka, ni utimilifu.
Nimesongea Mtini...
3. Yesu hunijuvya; mapenzi,
imani, tumaini na amani
hapa na mbinguni.
Nimesongea Mtini...
4. Huipa imara, kazi yake, ndani:
huongezeka neema,
ashindwe Shetani.
Nimesongea Mtini...
5. Huishuhudia mioyo ya imani
ya kuzipata ahadi,
wakimuamini.
Nimesongea Mtini...
6. Napata wokovu,
wema na neema;
kwako Bwana nina nguvu
na haki daima.
Nimesongea Mtini...