421. Nikiwa Naye Bwana Wangu
1. Nikiwa naye Bwana wangu,
Siogopi kamwe majaribu
yote humu.
Mimi (nilinde mimi)
majaribuni;
(unilinde, Bwanangu)
Uniunge na kundi la
waaminini.
Nitengeneze, niishi
nawe tu.
2. Ndiye amini na wa kweli.
Hadanganyi.
Ahadi zake za kweli kwangu.
Mimi ...
3. Nakuapia, Bwana wangu,
Unitumie kwa kazi
yako duniani.
Mimi…