429. Tazama Neema ya Mungu

1. Tazama neema ya Mungu mkuu

   kwamba akupa utume huu.

   Nenda, uwe mtumishi wangu,

   ukatangaze wokovu. 

   Nenda, mtumishi nenda tu.

          Nenda, mtumishi wa  

          Bwana. 

          Ukapande mbegu bora.

          Nenda kwa furaha.


2. Na wewe ukiwa mdogo tu, 

   nenda kwa ujasiri mkuu.

   Yeye aonaye toka juu,

   humtazama mwaminifu. 

          Nenda, mtumishi ...


3. Bado kidogo Mchungaji mkuu,

   atakuita na wito huu: 

   Ingia rahani kwa Mungu, 

   Ee mtumishi mwaminifu

          Nenda, mtumishi ...

 

Popular posts from this blog

420. Ni Salama Mikononi Mwake

398. Hapana Rafiki Kama Yesu

406. Mfurahini, Haleluya