435. Upendo wake Mwenyezi
1. K: Upendo wake
Mwenyezi wa ajabu
Kutoa Yesu mwanawe
kutufia.
W: /:Mwaminini Mwokozi
Mungu, Mwana
Tuwe nao uzima wa milele:/
2. K: Kwa dhambi
tulizotenda tulitengwa,
Tukawa mbali na
Mungu mtakatifu.
W: /:Mwaminini...
3. K: Mwanawe alijitoa kuja
kwetu,
akafa sisi tupone wenye
dhambi.
W: /:Mwaminini
4. K: Ni Yesu njia ya kweli
na uzima,
tupite kwake tusije
kupotea.
W: /:Mwaminini...